• -5%
Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania
search
 • Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania
 • Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania

Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania

64,90 €
61,65 € Économisez 5%

Dhima ya Elimu katika Nyimbo za Magosi

Kitabu hiki kinachohusu ‘Usawiri wa Nyimbo za Magosi za Wanyakyusa katika Muktadha wa Tanzania’ kimechunguza historia ya uhusiano uliopo baina ya fasihi na jamii inayopigwa na wimbi la muktadha wa ulimwengu wa leo kupitia nyimo za Magosi za Wanyakyusa.

Kitabu kinabainisha namna nyimbo teule zinavyosawiri hali halisi iliyopo nchini Tanzania kwa kurejelea muktadha mpana wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.

Kitabu hiki si tu kinahusu usawiri wa nyimbo za Magosi katika maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili, bali pia ni chimbuko na historia, utamaduni, sheria na uhakimu, utawala, makazi na falsafa ya jamii ya Wanyakyusa.

Historia ya maendeleo ya ushairi simulizi imeelezwa kwa undani ili kujenga mwega wa mjadala wa taarifa katika karne iliyopo sasa.

Mwanazuoni anayetaka kuzama na kuchambua masuala muhimu yaliyomo katika kitabu hiki atakuwa amezima kiu yake baada ya kuchota kutoka kisima hiki chenye maji mengi na yaliyo salama.

Kitabu hiki, kwa maana yake, kinahusishwa na Ujumi wa Mtu Mweusi kwa kuwa kinachochea mijadala ya masuala mengi yanayohusu historia, utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika kwa wasomaji na watafiti wa sanaa za kijamii.

Livraison dans le monde entier.
Frais d'envoi limités à 4,90 € pour la France métropolitaine quel que soit le nombre d'articles. Délai de livraison : 2 à 5 jours.

Quantité
Disponible

Dkt.

Gerephace Mwangosi ni mwandishi wa vitabu, mshairi na mhadhiri wa Fasihi katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha kilichopo Iringa Tanzania.

Anayo shahada ya Ph.D katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Ni mwandishi wa kazi kadha ikiwemo diwani ya Wazalendo na makala kuhusu fasihi ya Kiswahili katika Majarida mbalimbali.


Fiche technique

Auteur
Marque
GlobeEdit
Pages
172
Pays
Kenya Kenya

30 autres produits dans la même catégorie :

Buoyancy and Elasticity of Tax: Nigerian Perspective

Buoyancy and Elasticity of...

35,90 € 5% 34,00 €
 • -5%
Genus Solanum: Chemistry and Pharmacology

Genus Solanum: Chemistry...

39,90 € 5% 37,00 €
 • -5%
Autonomic Neuropathy in Type 2 DM Patients in Enugu Nigeria

Autonomic Neuropathy in...

49,90 € 5% 47,00 €
 • -5%
Plaidoyer en faveur de la Spiritualité

Plaidoyer en faveur de la...

41,90 € 5% 39,00 €
 • -5%
100 pensées, 2 fois. Exercice d'un libre penseur

100 pensées, 2 fois....

53,90 € 5% 51,00 €
 • -5%
KAPANGALA. LES DIAMANTS TOMBÉS DU CIEL

KAPANGALA. LES DIAMANTS...

48,90 € 5% 46,00 €
 • -5%
Modelling and Simulation of a Reversible Chemical Batch Reactor

Modelling and Simulation of...

61,90 € 5% 58,00 €
 • -5%
Teachers' Perception of the Influence of students' indiscipline

Teachers' Perception of the...

49,00 € 5% 46,00 €
 • -5%
PROBLEMY I PERSPEKTYWY REWOLUCJI ICT W ROZWOJU CZARNUCHÓW

PROBLEMY I PERSPEKTYWY...

37,90 € 5% 36,00 €
 • -5%
Знак зверя, "666", и конец света

Знак зверя, "666", и конец...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
O sinal da besta, ' 666 ', e o fim do mundo

O sinal da besta, ' 666 ',...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
Znak bestii, ' 666 ', i koniec świata

Znak bestii, ' 666 ', i...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
Het teken van het beest, "666", en het einde van de wereld

Het teken van het beest,...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
Il segno della bestia, '666', e la fine del mondo

Il segno della bestia,...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
El signo de la bestia, '666', y el fin del mundo

El signo de la bestia,...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
Das Zeichen des Tieres, ' 666 ', und das Ende der Welt

Das Zeichen des Tieres, '...

23,90 € 5% 22,00 €
 • -5%
La Cour constitutionnelle de la République du Congo : institution politique ou juridictionnelle ?

La Cour constitutionnelle...

61,90 € 5% 58,00 €
 • -5%
Сontes de grand-mère

Сontes de grand-mère

21,90 € 5% 20,00 €
 • -5%
Alpha Amylases from Fungi

Alpha Amylases from Fungi

69,90 € 5% 66,00 €
 • -5%
Le Correspondant à la Protection des données à caractère personnel

Le Correspondant à la...

54,90 € 5% 52,00 €
 • -5%
Monograph on Microbiology of Drinking Water

Monograph on Microbiology...

54,90 € 5% 52,00 €
 • -5%
Le ligament de l'entorse latérale de la cheville

Le ligament de l'entorse...

39,90 € 5% 37,00 €
 • -5%
Evaluation Of Advanced Hybrids Of Two Solanum Species

Evaluation Of Advanced...

54,90 € 5% 52,00 €
 • -5%
Factors Influencing Vasectomy Acceptability

Factors Influencing...

54,90 € 5% 52,00 €
 • -5%
Carboxymethyl Cellulase Production From Agricultural Wastes

Carboxymethyl Cellulase...

64,90 € 5% 61,00 €
 • -5%
Analysis of Poverty and Vulnerability to Poverty

Analysis of Poverty and...

39,90 € 5% 37,00 €
 • -5%
The Impact of Foreign Direct Investment

The Impact of Foreign...

54,90 € 5% 52,00 €
 • -5%
A Study on the Business Environment of MSMEs in Egypt

A Study on the Business...

54,90 € 5% 52,00 €
 • -5%
Kierkegaardian Subjectivity and African Philosophy

Kierkegaardian Subjectivity...

79,00 € 5% 75,00 €
 • -5%
An Introduction to Univariate and Multiple Time Series Analysis with R

An Introduction to...

61,90 € 5% 58,00 €
 • -5%